Sighting Elvis

check

The Dish

Elvis

Today would have been the music legend’s 80th birthday, assuming you believe he’s dead. Adrienne LaFrance ponders our varied perceptions of the man and his demise:

The tricky thing about Elvis [is] that people can’t agree on the Elvis they think they know. There’s the Elvis who died in 1977, and the Elvis who’s still alive and eating cheeseburgers in western Michigan. There’s Elvis the hip-swiveling hunk who could break your heart, and Elvis the doughy 40-something who couldn’t get through a performance without stumbling over his words. This duality was strong enough that it prompted debate about which Elvis ought to be depicted on a postage stamp. From The New York Times in 1992:

“Postal authorities are not sure which Presley likeness to use: the young, svelte, hip-gyrating Elvis of the rock-and-roll ’50s, or the rotund, road-worn Elvis who died in 1977 near the end of the Age of Aquarius, reportedly after…

View original post 438 more words

Advertisements

The Disney Goofy Challenge is here.

nicx

Cavalcade of Awesome

Walt-Disney-World-Marathon-Weekend2015

Well, TGIF everyone.  By the time you are reading this, I should be off traveling to Orlando to participate in Disney’s Marathon Weekend 2015. The Disney Marathon is a huge deal where tens of thousands of people come from all over the world to Walt Disney World (and Disney Land) to compete. There are several different races run, one each for Friday, Saturday and Sunday. The race I’m doing is called The Goofy Race & and a Half Challenge.

goofy challenge

It involves a half marathon on Saturday morning and then the full marathon on Sunday morning.  I was actually going to do the Dopey Challenge which involves all three races that weekend; a 10k on Friday, the half on Saturday and the full on Sunday, but it was sold out back in June when I signed up so I had to go for the Goofy.

The courses are pretty cool, you run…

View original post 98 more words

Song astaafu soka ya kimataifa

Mchezaji wa Cameroon West Ham Alex Song amestaafu kucheza soka ya kimataifa baada ya kutopata mwaliko wa kikosi cha timu ya taifa kitakacholiwakilisha taifa hilo katika kombe la nchi za Afrika.

Song mwenye umri wa 27, ambaye kwa sasa anachezea timu ya ligi kuu ya Uingereza West Ham kupitia mkopo wa Barcelona sasa ataweza kuendelea kuichezea West Ham baada ya mazungumzo ya dakika za mwisho na Cameroon kuvunjika.

Song hajaichezea timu yake ya taifa tangu alipopewa kadi nyekundu kwenye mechi dhidi ya Croatia katika ngazi ya makundi katika Kombe la Dunia 2014.

Je Man City itamsajili Bony?

Klabu ya Manchester City kwa sasa katika mazungumzo na Uongozi wa Timu ya Swansea City kwa lengo la kumsajili mchezaji Wilfred Bony.

Man city ina mpango wa ktenga zaidi ya £ 30m kwa Ivory Coast mwenye umri wa mika 26, kutoka Swansea ,na meneja Garry Monk amesema itachukua atahakikisha inampata Wilfred Bony hapo Januari katika dirisha la usajil.

Bony alijiunga Swansea kwa rekodi klabu £ 12m kutoka Vitesse Arnhem mwaka 2013 na kwa sasa yupo katika maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrka ( AFCON) na Timu yake ya Taifa ya Ivory Coastindexmshanaal

Mzunguko wa nne kombe la FA hadharani

Droo ya kupanga mechi za raundi ya 4 ya Kombe la FA imefanyika kwa vigogo Manchester United kupangwa kucheza na timu ya daraja la chini ya Cambridge United.

Mabingwa Watetezi, Arsenal, watakuwa Ugenini kucheza na Brighton au Hove Albion ambayo ipo Daraja la chini ya Ligi Kuu England.

Chelsea itakipiga na Mill wall auBradford City Manchester City itapepetana na Middlesbrough

Southampton/Ipswich na Crystal Palace

Blackburn Rovers na Swansea City

Preston North End na Sheffield United

Birmingham City dhidi ya West Bromwich Albion

Aston Villa na Bournemouth

Cardiff City na Reading

AFC Wimbledon/Liverpool na Bolton Wanderers

Burnley/Tottenham Hotspur na Leicester City

Rochdale v Stoke City

Sunderland na Fulham/Wolves

Doncaster/Bristol City na Everton/West Ham

Michezo ya raundi nne inatarajiwa kupigwa Januari 24 na 25.

Chanjo dhidi ya Ebola yatolewa

Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Oxford wameaza kutoa chanjo dhidi ya Ebola kwa Watu waliojitolea.

Majaribio haya yanahusisha Watu 72 wenye umri wa kati ya miaka 18-50.

majaribio ya awali yaliyofanywa kwa Nyani yalionesha ufanisi wa chanjo ya Ebola.

Watu waliojitolea chuoni hapo ni binaadamu wa kwanza kupata chanjo hiyo.

Dokta Matthew Snape kutoka idara ya Chanjo chuo cha Oxford amesema mpango huu unalenga kuwapa chanjo washiriki wote ndani ya mwezi mmoja.

Majaribio haya yanalenga kuelewa usalama wa Chanjo hiyo.

Waratibu wa mpango wa majaribio ya chanjo dhidi ya Ebola wamesema chanjo hiyo haisababishi mtu aliyeipata kuathiriwa na Ebola.

Wataalam wa maswala ya chanjo kutoka Kampuni ya Johnson and Johnson wamesema wana matumaini kuwa watafanya majaribio ya awamu ya pili barani Afrika na Ulaya ndani ya miezi mitatu kisha Chanjo hiyo itapatikana kwa ajili ya matumizi nchini Liberia, Guinea na Sierra Leone katikati ya mwaka huu.140917144142_ebola_vaccine_304x171_bbc_nocredit