Arsenal,Mancity na Man U kuwania FA

fMshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot anatarajiwa kuanza katika mechi ya leo ya raundi ya tatu ya kombe la FA dhidi ya Hull City.

Mlinda lango David Ospina anatarajiwa kuchukua mahala pake Wojcieh Sczesny katika mechi ya jumapili katika uwanja wa Emirates,huku Mesut Ozil akitarajiwa kuanza mazoezi baada ya kupata jeraha.q

Na huku hayo yakijiri wachezaji kadhaa wa Chelsea huenda wakapumzishwa katika mechi dhidi ya Watford.

Kipa Thibaut Courtois ana jeraha la kidole,hivyobasi huenda kipa mwenye uzoefu mwingi Petr Cech akachukua mahala pake.

Mshambuliaji Diego Costa na kiungo wa kati Eden Hazard huenda wakawachwa nje baada ya kushiriki katika mechi nyingi za ligi.

44

Wakati huohuo kiungo wa kati wa Manchester City Yaya Toure huenda akashiriki mechi yake ya mwisho kabla ya kujiunga na kikosi cha Ivory Coast kwa kombe la Afrika.

Beki Vincent Kompany , Edin Dzekona Sergio Aguero wana majeraha ya mgu

f kkk

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s