Mancity yafika kileleni mwa ligi ya EPL

Mchezaji Frank Lampard alifunga bao la ushindi kupitia kichwa chake dhidi ya Sunderland na kuiweka Manchester City sawa na Chelsea katika kilele cha ligi ya Uingereza.

Mabao ya Yaya Toure na Steven Jovetic yaliifanya Manchester City kudhibiti mechi hiyo.

Lakini timu hiyo ya nyumbani ilipoteza uongozi huo wa mabao mawili kwa mechi ya pili mfulululizo kupitia mabao ya Jack Rodwell na penalti ya Adam Johnson iliosawazisha.images

Lampard alifunga bao la ushindi kupitia kichwa kizuri baada ya kupata krosi kutoka kwa Gael Clichy.

Mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea ambaye atasalia katika timu hiyo baada ya Mancity kumuongezea mkataba hadi mwisho wa msimu kutoka New York City nusra afunge mabao matatu katika dakika 20 alizokuwa uwanjani ambapo City ilimaliza mechi hiyo kwa kishindo.images32

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s