YALIO JIRI MWAKA 2014 KATIKA SOKA ULAYA

29/12/2014 UJERUMANI-ARGENTINA-SOKA

Kombe la dunia Brazil 2014

Kikubwa kitakachokumbukwa mwaka huu unaokamilika ni michuano ya soka ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Brazil kati ya tarehe 12 mwezi Juni hadi tarehe 13 mwezi Julai.

Mwaka 2012, Thierry Henry alirejea Arsenal kwa mkopo na kufunga mara mbili.
16/12/2014 SOKA-UFARANSA-ARSENAL-HENRY

Baada ya kujizolea sifa, Thierry Henry astaafu

Taarifa hii imekua ikisubiriwa tangu majuma kadhaa yaliyopita. Kwa sasa taarifa hiyo imekua rasmi: Thierry Henry amechukua uamzi wa kustaafu katika ulimwengu wa soka.

Real Madrid kumenyana na Atletico Madrid fainali ya UEFA
04/05/2014 Jukwaa la Michezo

Real Madrid kumenyana na Atletico Madrid fainali ya UEFA

Jukwaa la Michezo Jumapili hii, tunathamini kufuzu kwa fainali ya kuwania taji la klabu bingwa barani Ulaya msimu huu ambayo itaikutanisha Atletico Madrid na Real Madrid zote kutoka Uhispania. Pia …
Sergio Ramos akifunga moja ya bao lililoipa ushindi timu yake
30/04/2014 UEFA 2013/2014

Ronaldo avunja rekodi ya Messi ya kupachika mabao kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya

Hatimaye mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Christian Ronaldo amevunja rekodi ya kupachika mabao katika msimu mmoja wa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya UEFA, akimpiku mpinzani wake, Lionel …
Droo ya michuano ya soka ya UEFA na Mbio za London Marathon
13/04/2014 Jukwaa la Michezo

Droo ya michuano ya soka ya UEFA na Mbio za London Marathon

Mabingwa watetezi wa mchezo wa soka wa klabu bingwa barani Ulaya Bayern Munich, Chelsea, Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Tunathathmini pia …
11/04/2014 RATIBA KLABU BINGWA ULAYA

Chelsea mdomoni mwa Atletico Madrid nusu fainali ligi ya mabingwa Ulaya

Hatimaye ratiba ya michuano ya nusu fainali ya klabu bingwa Ulaya na ile ya Europa imetangazwa na shirikisho la kabumbu barani Ulaya UEFA, huku mabingwa watetezi klabu ya Beyern Munich ikipangiwa …
Robo fainali ya michuano ya soka kuwania taji la UEFA
23/03/2014 Jukwaa la Michezo

Robo fainali ya michuano ya soka kuwania taji la UEFA

Pata uchambuzi wa kina kuhusu michuano ya soka kuwania taji la klabu bingwa barani Ulaya UEFA, na ile ya kutafuta ubingwa wa soka barani Afrika …
Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michel Platin
05/12/2013 SOKA

Rais wa UEFA Michel Platin ataka adhabu ya kadi katika soka iondolewe

Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michel Platin ametoa wito wa kuondoa adhabu ya kadi ya njano kwenye soka na badala yake wachezaji watakao kiuka sheria za mchezo huo watumikie adhabu ya …
Kocha Mkuu wa Chelsea Jose Mourinho akiondoka kwenye Mkutano wa Waandishi wa Habari baada ya kuchukizwa na maswali
01/10/2013 SOKA-CHELSEA-UEFA

Mourinho aondoka kwenye Mkutano wa Waandishi wa Habari baada ya kuchukizwa na maswali ya Wanahabari

Kocha Mkuu wa Klabu ya Chelsea Jose Mourinho amechukizwa na maswali ya wanahabari kwenye Mkutano wake kabla ya kuchezwa kwa Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Steaua Bucharest juu ya …
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s