BAADHI YALIOJIRI MWAKA 2014 DUNIANI
Kambi ya wakimbizi wa Syria katika mji wa Erbil, katika jimbo la Kikurdi la Iraq, Machi 29 mwaka 2014.
02/01/2015 SYRIA-MAPIGANO-USALAM

Watu elfu sabini waliuawa mwaka 2014 Syria

Wanaharakati wa haki za binadamu wanasema zaidi ya watu elfu 70 waliuawa katika mapigano yanayoendelea nchini Syria kati ya jeshi la serikali na makundi ya waasi mwaka 2014.

Askari polisi wakipiga doria ili kuimarisha usalama Kanisani na Miskitini pamoja na maeneo muhimu yanayotembelea na watu wengi mjini Nairobi.
02/01/2015 KENYA-UGAIDI-USALAMA

Sheria mpya za usalama: uamzi wa Mahakama watazamiwa kutolewa

Mahakama kuu jijini Nairobi nchini Kenya, leo Ijumaa Januari 1 itatoa uamuzi ikiwa sheria mpya za usalama nchini humo zisitishwe au ziendelee kutumiwa wakati kesi iliyowasiliwa na wanasiasa wa …
Rais wa Gambia Yahya Jammeh (hapa ilikua mwaka 2011) alikuwa nje ya nchi wakati jaribio la mapinduzi lilifanyika Jumanne Desemba 30 mwaka 2014.
02/01/2015 GAMBIA-MAPINDUZI-SIASA

Jammeh ayatuhumu mataifa ya kigeni

Siku mbili baada ya jaribio la mapinduzi kufeli nchini Gambia, rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh amekanusha kuhusika kwa jeshi na kuyatuhumu mataifa ya kigeni yenye nguvu kuhusika katika kile alichotaja …
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza.
01/01/2015 BURUNDI-MAREKANI-KATIBA-SIASA-USALAMA

Rais Nkurunziza aonywa kutogombea muhula wa tatu

Mjumbe maalum wa Marekani katika ukanda wa Maziwa Makuu, Russ Feingold amesema kuwa rais Pierre Nkurunziza wa Burundi hapaswi tena kugombea awamu ya tatu ya urais nchini humo.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amewahakikishia raia wake kwamba usalama utaimarishwa katika mwaka 2015. mwaka 2015
01/01/2015 KENYA-MWAKA 2015-USALAMA

Rais wa Kenya awahakikishia usalama raia wake

Nchini Kenya, maelfu walikusanyika katika viwanja vya Jumba la Mikutano ya Kimataifa KICC katikati ya jiji kuupokea mwaka mpya.

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete
01/01/2015 TANZANIA-MWAKA 2015-USALAMA-UCHUMI-SIASA-MAZINGIRA

Jakaya Kikwete: “ 2015 ni mwaka wa mwisho kwa kuiongoza Tanzania”

Katika hotuba yake ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015, rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amebaini wazi kwamba 2015 ni mwaka wa mwisho kwake kwa kuliongoza taifa la …
Gwaride la askari wa Rwanda wakati wa sherehe ya  ukombozi. Kigali, Julai 4 mwaka 2014.
31/12/2014 RWANDA-GRUNETI-USALAMA

Mripuko wa gruneti wawaua watu watatu Rwanda

Wakati ulimwengu ukijiandaa kuupokea mwaka mpya wa 2015, magharibi mwa Rwanda kumetokea mlipuko wa Guruneti Jumatano Desemba 31 mwaka 2014, na kugharimu maisha ya watu watatu.
Burundi imekua na imani na jeshi lake kutokana na uzoefu wa jeshi hilo.
31/12/2014 BURUNDI-CIBITOKE-MAPIGANO-USALAMA

Mapigano Kaskazini Magharibi mwa Burundi

Mapigano yameendelea kwa siku ya pili kmkoani Cibitoke, Kaskazini Magharibi mwa Burundi karibu na mpaka na jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Zoezi la anga la kuitafuta ndege ya shrika la Air Asia nchini Indonesia lasitishwa kutokana na mvua kubwa na upepo mkali Jumatano hii Desemba 31.
31/12/2014 INDONESIA-Usalama wa Anga

AirAsia QZ8501:hali ya hewa yatatiza utafiti

Juhudi bado zinaendelea kutafuta miili zaidi baada ya kupatikana kwa mabaki ya ndege ya AirAsia jana Jumanne Desemba 30.

Rais wa Gambia, Yahya Jammeh, akivaa nguo nyeupe na kofia yake ya milele , katika mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa, Septemba 25 mwaka 2014.
31/12/2014 GAMBIA-MAPINDUZI-SIASA

Jaribio la mapinduzi lafeli Gambia

Jeshi nchini Gambia linasema limefanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi siku ya Jumanne, jaribio ambalo limekashfiwa na serikali ya Marekani.

jawat Kasasbeh, ndugu wa rubani wa Jordan anayeshikiliwa na kundi la wapiganaji wa Dola la Kiislam, akiwa katika Sala, mjini Amman.
31/12/2014 JORDAN-IS-SYRIA-UGAIDI-USALAMA

IS yarusha mahojiano ya rubani wa Jordan

Kundi la wapiganaji wa Dola la Kiislam limerusha hewani mahojiano iliyofanya na rubani wa Jordan anaeshikiliwa na kundi hilo tangu juma lililopita nchini Syria wakati ndege yake ilipoanguka katika …
Yahya Jammeh katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, Septemba 25 mwaka 2014.
30/12/2014 GAMBIA-MAPINDUZI-SIASA

Jaribio la mapinduzi Gambia

Mkanganyiko umejitokeza nchini gambia kuhusu hali katika mji mkuu wa nchi hio Banjul, ambapo milio ya risasi ilisikika mapema Jumanne asubuhi.

Kwa siku tatu, zoezi la kuitafuta ndege ya shirika la AirAsia ya Indonesia limeendelea katika bahari Java.
30/12/2014 INDONESIA-Usalama wa Anga

Mabaki ya ndege AirAsia yapatikana

Mabaki ya ndege ya kampuni ya AirAsia, iliyotoweka Jumapili Desemba 28 ikiwa na abiria 162, yameonekana katika Bahari Java.

Karim Wade, mtoto wa rais wa zamani wa Senegal, akituhumiwa kujitajirisha kinyume cha sheria.
30/12/2014 SENEGAL-WADE-HAKI-SHERIA

Mahakama inayomsikiliza Karim Wade yakosolewa

Mahakama inayoshughulikia kesi za kujitarisha kinyume cha sheria nchini Senegal, imeendelea kukosolewa katika kesi ya Karim wade, mwanae rais wa zamani wa Senegal, Abdoulaye Wade.

Askari wa Cameroon tarehe 17 Juni mwaka 2014, wakizidisha ulinzi kwenye ngome yao katika mji wa mpakani wa Amchide katika mkoa wa kaskazini mwa nchi, mji unakabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya Boko Haram.
30/12/2014 CAMEROON-NIGERIA-BOKO HARAM–Usalama

Askari 8 wa Cameroon watoweka

Nchini Cameroon hali ya utulivu imerejea katika kambi ya kijeshi ya Achigachia baada ya mapigano yaliotokea Jumapili Desemba 28 dhidi ya kundi la Boko Haram.

Karim Wade, mwana wa rais wa zamani wa Senegal atuhumiwa kujitajirisha kinyume cha sheria.
29/12/2014 SENEGAL-WADE-HAKI-SHERIA

Uamzi watazamiwa kutolewa kufuatia ombi la Karim Wade

Haijafahamika iwapo Karim wade, mwanaye Abdoulaye Wade ataachiliwa huru kwa dhamana, wakati ambapo uamzi wa majaji ukisubiriwa kutolewa leo Jumatatu Desemba 28 mwaka 2014.

Licha ya hatua kadhaa za kukabiliana na Ebola, visa vipya vimekua vikigunduliwa nchini Sierra Leone.
29/12/2014 SIERRA LEONE-EBOLA-Afya

Muda wa kukabiliana na Ebola watamatika

Muda wa siku tano uliyowekwa na serikali ilikuzuiwa mambukizi ya virusi vya Ebola umemalizika Jumapili Desemba 28, kaskazini mwa Sierra Leone, nchi ambayo imeathirika zaidi na ugonjwa wa Ebola.

Jenerali John Campbell, mkuu wa kiosi cha kimataifa cha ISAF, amekaribisha kazi iliyotekelezwa na Nato, wakati wa sherehe za kuondoka kwa kikosi  hicho, Desemba 28 mwaka 2014.
29/12/2014

NATO yatamatisha shughuli zake Afghanistan

Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi NATO umeaandaa sherehe za makabidhiano  jijini Kabul nchini Afganiustan, wakati huu majehsi hayo yanapojiandaa kuodoka juma hili.

Makamu wa rais wa Indonesia, Jusuf kalla (kushoto) akionyesha sehemu ambako zoezi la utafutaji wa ndege linapoendeshwa.
29/12/2014 INDONESIA-Usalama wa Anga

Utafutaji wa ndege ya Indonesia Air Asia unaendelea

Waokoaji wa kimataifa bado wanaitafuta ndege ya Indonesia ya Air Asia iliyotoweka jana Jumapili Desemba 28 mwaka 2014 ikiwa na abiria 162.

Moto wateketeza kituo cha mafuta cha Al-Sedra Desemba 26. Kwa sasa ni vituo 5 ambavyo vinawaka moto.
29/12/2014 LIBYA-Mapigano-Usalama

Moto washambulia vituo vya mafuta Libya

Moto uliosababishwa na mapigano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa kiislam katika moja ya vituo vikubwa vya mafuta nchini Libya umeenea katika ghala zingine za mafuta

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s